Rahisi Connect inasambaza vifaa vya shule, vifaa vya ofisi, stationery na bidhaa mbalimbali za biashara kwa bei nafuu. Tunahudumia shule, vyuo, ofisi, taasisi za serikali, NGOs na wafanyabiashara kwa uhakika na kwa wakati.
Bei zinazoshindana sokoni kwa shule, ofisi na biashara.
Bidhaa bora kutoka kwa wasambazaji wanaoaminika.
Maagizo yako yanahudumiwa kwa haraka na ufanisi.
Kila unachohitaji sehemu moja.
Tunafikisha ndani ya Dar es Salaam na Mikoani.
Tumejenga imani kwa huduma bora kwa wateja.

Punguza gharama za ununuzi kwa kununua kwa jumla.
Bei bora hukuwezesha kuongeza faida ya biashara.
Usikose vifaa muhimu vya biashara au taasisi.
Huduma ya kusafirisha hadi ulipo.
Rahisi Connect wametusaidia kupata vifaa vya shule kwa bei nzuri sana.
Mkuu wa ShuleHuduma ya kuaminika na delivery ya haraka kila mara.
Meneja wa OfisiBei nzuri, huduma bora na bidhaa bora.
Mmiliki wa BookshopRahisi Connect ni supplier wa vifaa vya stationery kwa bei ya jumla tunapatikana Kariakoo, Muhonda Street karibu na Likoma, Dar es Salaam. Tunatoa bidhaa bora kwa shule, ofisi, taasisi, NGOs na biashara mbalimbali kwa bei nafuu na huduma ya kuaminika.